FURAHAMBINGUNI — Cantiques EUJC

N° 12

FURAHAMBINGUNI

1.

Fuhara mbinguni ametupwa yule joka, "ole wako duniani mchongezi ameshushwa^2x

Refrain

Twimbe wokovu kwa bwana mungu yeye anae keti juu ya kiti cha enzi mwana kondoo wa mungu, juu ya kiti cha enzi mwana kondoo wa baba.

2.

Joka kufika duniani kaharibu mambo yote harzi ku laaniwa na watu wakatabishwa.

3.

Kwehi rehemwa yake mungu kakumbuka israeli "Kwa neno hili la rohoni watu wakaokolewa^2x