N° 13
NILIONA ALAMA KUBWA
1.
Niliona alama kubwa kutoka mbinguni (kutoka mbinguni) Mwanamuke aliye vikwa juwa, mwezi na nyota tenashara kichuani mwake. Natena alama nyingine kajirika joka mukubwa mwekundu na vichwa saba na pembe kumi kasimama mbele yake.
Refrain
Eh wajoli wangu tujiazari, Joka yule amekwisha simama kwa kuharibu kazi.
- Ni miongoni mwetu tujizari
- Ni pamoja nasi tujiazari
3.
Wewe ni muke yule umekuisha pewa hekima ya mbingu. Mwana ni roho wa Kristo ni karibu sasa kushuka kwetu(Ona sasa huaribifu huwo)
- Mambo ya vizazi inaanza tena
- Mukufuru Twende wapi na neno hiyo Wakristo nao awaambatane Waminifu nao awaambatane
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand