N° 14
VITA VIKALI UJIRIKA
1.
Vita vikali ujirika mbinguni mwa mungu~2x Mikael iwa mungu kamushinda shetani~2x mbinguni muna furaha , dunia muna mateso.
– Kwani shetani yeye yule ametupwa chini.
-Kwani shetani yeye yule joka ametupwa chini.
Refrain
Shetani ametupwa chini~2x Yuna nahasira kali utafuta ufariki na nani kwani shetani , shetani yeye ametupwa chini.
2.
Tondonkeni wote duniani muna mateso, tukae mbinguni muna furaha kwani shetani yeye shetani yeye ametupwa chini, kwani shetani yeye yule joka ametupwa chini.
3.
Furahini wote mwishio mbinguni mwa mungu laana ni kwao waketi wa duniani kwani shetani yeye shetani ametupwa chini, kwani shetani yeye yule joka ametupwa chini.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand