UO NI UJUMBE — Cantiques EUJC

N° 15

UO NI UJUMBE

1.

Uo ni ujumbe kutoka juu mbinguni kwa kuonyesha ya kama hutuba zilizokuwa tanguawale zimetimilika kwahadi ya uweza wake mungu.

Commentaire

Com : - Ujumbe kutoka mbinguni - Ulishuka kutoka kwa baba - Hadi ya baba ya roho mwema

Refrain

( wajoli) tuhutubu, tu hutubu tuhutubu kwa roho inayo ishi ndani mwetu apa sasa kwa uzima unayo shuka ndani mwetu kwa wakati wa mihulaiyo.

2.

Tukienenda katika hutuba huo nasi tuwe na joka mukubwa hili tushinde yule aliyeshushwa alitupwa na Mikael iwa mufalme.

Commentaire

Com :- Alieitwa Diabolo Shetani - Ibilisi joka wa mapembe - Alidanganya dunia muzima.

3.

Sasa wokovu umeonekana katika mipaka yoteya, sayuni na yerusalema katika malisho ya ngombe zinazo geuzwa kuwa kondoo tushikamane tu sije "tuka jaribie uduma wetu bora"2x

Commentaire

Com :-Kwa ulozi -Kwa madawa -Kwa uzini -Kiburi