OLE DUNIA — Cantiques EUJC

N° 16

OLE DUNIA

1.

(Ole dunia makao ya yule shetani) 2x (Dunia ya ziki na mambo mimi sita ishi dunia) 2x .

Refrain

- Niwe na bawa, dunia maombolezo sitaishi dunia

- Ni ruke kama ndeke...

- Ni kamwone baba...

- Baba wa mbinguni...

- Baba wa salama...

- Ni miongoni mwetu tujizari...

- Ni pamoja nasi tujiazari

3.

Ni kitazama huko dunia mimi si oni salama mateso na vilio yoyo mimi sitaishi dunia.(Mimi) sitaketi dunia mimi dunia ya wenye mateso mimi taketi ¨mbinguni¨ mbinguni ya wenye furaha wenye fuhari wenye uzima yoyoyo sitaishi dunia.Ukipenda kuona baba wewe achana na dunia¨2x mateso na vilio yoyo mimi sitaishi dunia.