N° 19
SHETANI MWANA WA GIZA
1.
Shetani mwana wa giza ampinga mwana wa nuru. "si yeye bwana wa rehema aumbae vitu hivi^2x
Refrain
tumushinde shetani "2x sisi tu wana wa nuru^2x tumushinde shetani , mungu ni mutawa wa viote.
2.
Nimetia nguvu zangu kwa walio wa haya wa asubui wa mushinde shetani hata katika giza.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand