N° 20
WALOZI KAMA WA MESIMAMA
1.
Walozi kama wa mesimama kufwatana na yule shetani alietupwa na ufahamu mwingi ili kwa kwaribu huduma.
Refrain
Kweli kweli ole wako shetani umelaniwa dunia umepewa laana ole wako mulozi.
2.
Nani atakae simama wakati wa Mikaeli kuja , nani atakae simama wakati wa Anaeli kuja walozi wote wamejuwa asira yake jeho wa mungu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand