N° 21
TUDUMU DAIMA
1.
Tudumu daima katika njia ya bwana tudumu daima katika uduma huo tushindane naye shetani yule Ibilisi.
Refrain
Ole wako shetani , ole wako wewe usie timiza uduma, heri mutu , heri mutu yule anaye timiza huduma.
2.
Kwa siku za mwisho, kwa siku za mwisho itakuwa ni kilio kubwa na maombolezo kwa wasio timiza huduma.
3.
Kwa siku za bwana, kwa siku za bwana itakuwa ni furaha kubwa na kushangilia kwa wanao timiza huduma.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :- Ole wako mulozi -Ole wako kahaba