WANDUKU MUJIAZARINI NA MAMBO YA DUNIA — Cantiques EUJC

N° 22

WANDUKU MUJIAZARINI NA MAMBO YA DUNIA

1.

Wandugu mujiazarini na mambo ya dunia, shetani ametupwa chini na utukufu wake, yule joka shetani ametupwa chini na utukufu wake.

Refrain

Alikuwa malaika wa nuru sasa amekuwa joka mu dunia kwa kwaribu wana wa mungu na ku wa shusha hadeze ( yule joka ) kwa ku haribu wana wa mungu na kuwa shusha hadeze.

Commentaire

Com :Wajoli wangu jazarini yoyoyo na Ibilisi nyoka wa zamani.

-Hata ku masemi yake : mujazareni yoyoyo na Ibilisi nyoka wa zamani

-Hata mafundisho yake : " " " " " " " " " " " "

2.

Shetani ujulikana apingae kazi ya mungu, shetani ujirikana kwa kauli zake ( mungu naye ) mungu naye ujulikana kwa kauli zake "2x

3.

Maandiko unena kwamba tangu mwanzo ndani yake hamu kuwapo haki ya mungu ni udanganifu na mambo ya watu.