N° 23
WALOZI KAMA WA MESIMAMA
1.
Walozi kama wa mesimama kufwatana na yule shetani alietupwa na ufahamu mwingi ili kwa kwaribu huduma.
Refrain
Tenda majabu yako eh baba, tenda eh Mungu
4.
Lucifero alikuwa malaika wa Mungu Baba (Alietupwa toka juu mbinguni kwajili ya ubaya wake)2x
(Mikaeli mwenye nguvu akamutupa Diabolo chini)2x Mikaeli uweza, Mikaeli mwenye ushindi¨2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Walozi wa kuogope: tenda eh baba tenda eh mungu
- dunia ikwabudu
- Sisi zote tukusifu.