N° 25
APO MWANZO
1.
Apo mwanzo, mungu aliziumba mbingu na inchi na bahari kubwa yoyo aa ! ¨ Roho wa mungu akatulia juu ya uso wa maji¨2x
Refrain
Sisi zote tuondokeni duniani tutembee juu ya bahari ili tuwe mbinguni muishimo baba , mungu wa wenye uhai inchi yani mwili, mbingu yani roho ya mungu , maji ni mafundisho, nuru ufahamu , giza ni upungufu .
2.
Mungu akatenga nuru na giza , nurumuchana , giza usiku yoyo aa ! ¨ Ati baba oh nuru ao oh giza¨2x
3.
Inchi ikatoa majani kwa gisi yake mamboga na miti matunda na mbengu yoyo aa ! wana wa mungu toeni matunda yenye kufaha toba.
4.
Mungu akaumba viumbe vienye uhai ayawani na ndege nyangumi majini yoyo aa ! mutu akawa mumiliki wa viote yoyo aa !
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Baba twakushukuru iyawe yoyo mungu wa wenye uhai -Uliumba dunia -Kweli sita kuacha