N° 26
ALIPO ANZA MUNGU HUDUMA
1.
Alipo anza mungu huduma za kuumba na kufanya mbingu zi ka umbiwa, dunia ika umbiwa , "Dunia haikuwa na kitu ila maji yalikuwa duniani¨2x
Refrain
Jehova mungu uliandike jina langu mukitabu cha uzima kweli siku zile na machozi na vilio avita kuwa tena.
2.
Mungu kanyosha mukono wake kondoa maji duniani ¨ Inchi ikabakia kavu na giza yote ikatoweka¨2x
3.
Dunia wewe dupia , kwakuwa usibaki dunia wewe ugeuze mulima upate wokovu wa milele.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand