N° 27
WAKATI MUNGU YOYOYO ALIPO UMBA
1.
Wakati mungu yoyoyo alipo umba mbingu na dunia¨2x Akaumba nuru yoyoyo akatenga nafasi mungu akaumba miti¨2x
Refrain
Kweli kweli jeho va mungu kanena nimepata kiumbe (kiumbe) kitakacho tukuza ukubwa wangu .
2.
Akaumba miangaza yoyoyo akaumba nyama, mutu akuwako.
3.
Akaumba mutu yoyoyo akamubariki muzidi na kuongezeka.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Na mwalimu kanena -Mwambi wetu kanena -Baba kyungu kanena