N° 28
TWAKUSHUKURU EH MUNGU WANGU
1.
Twakushukuru eh mungu wangu katika , kazi uliotenda tangu hawali zimetimilika leo (kazi gani) kuokowa dunia katika mikono ya shetani , ( kazi gani ) kuokoa dunia katika shida na magonjwa ( kazi gani ) kuokoa dunia katika kiburi na jeuri.
Refrain
Mimi munaziri wa mungu yoyoyo (uniokowe)2x
2.
Nimesongwa sana mungu wangu na madui awa ~2x ( madui gani) Pisoni : sheria ya jamaa ya menisonga sana " " " " " " Gioni : Marafiki wa baya wamenisonga sana " " " " " " Idekeli : Mafundisho ya mwili ya " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : katika magonjwa uniokowe uniokowe en -katika kifungo " " " " " -Katika mateso " " " " "