HUDUMA ZILIANZA KATIKA MBINGU — Cantiques EUJC

N° 31

HUDUMA ZILIANZA KATIKA MBINGU

1.

1. Huduma zilianza katika mbingu kwa kuumba vitu viote vinavio onekana visivio onekana kwa utukufu wake.

Refrain

Wewe ni nani katika dunia eyowa

(katika dunia)

- Kiburi kiako ni bure eyowa

- Majivuno yako ni bure eyowa

- Kuvala kwako ni bure eyowa

Mungu wetu mushindi kasimamisha haki yake kwa utukufu wake.

Kweli, kweli mungu mwenye uwezo kasiùamisha haki yake kwa utukufu wake Kweli, kweli mumba wa viote

3.

2. Magizo ya mungu kwake adama usile wala kugusa muti wa mauti eh nyoka kadanganya muke hakika hamutakufa.

4.

3. Kasirani yake mungu kalaani muke Adamu kwa utkufu wake eh mimi sitaki shuurliza duniani ni pate uzima.