TUWA HUDUMU HABARI MAALUMU — Cantiques EUJC

N° 33

TUWA HUDUMU HABARI MAALUMU

1.

Tuwa hudumu habari maalumu tuliachiwa na bwana ili tuwa udumie kuvipasha viumbe habari njema "Hayawani simba na chuwi, tembo na mbwea, viura , nyoka na panzi nge na mamba, mamba na kunguru~2x

Refrain

Kwa leo tuwa batize kwa jina la baba ( kwa jina la baba)tbatize kwa jina la mwana ( kwa jina la mwana) tuwa batize kwa jina la roho damilifu amina.

2.

Habari njema wajoli tunayo waarifu si kwa andiko la herufi liuwalo ila yesu mwana mungu mukombozi wa watu ~ Neno la mungu alie hai likajifanya mwili kuwaliwa mara moja na kufa mara moja kainuliwa ~2x

3.

Ubatizo maana yake , ubatizo ni fundisho tuliachiwa na bwana ili tuwa fundishe ~ Kufundisha mungu baba mumbai, kufundisha Yesu mwana mukombozi wa watu , kufundisha naye roho katika sehemu za roho yote tatu ~2x