N° 34
NITAZAMAPO HUDUMA ULIOFANYA MUNGU
1.
Nitazamapo huduma uliofanya mungu kwa mikono yake chini ya jua (kweli mimi) sina na furaha mu mambo yote ya uzima wangu apa duniani.
Refrain
Mungu akaumba mbingu na dunia mito na bahari kubwa kazi ya mikono yake mungu wangu paka wewe akuna mwingine.
2.
Mungu uniokowe mu mambo ya dunia ili ni sione taabu ya mwisho wa dunia (wewe) wewe ulimutoa mwana wako wa peke ili kila mwamini asife kamwe.
3.
Kama ukiapa kwa mungu wako usisite kamwe timiza naziri yako (kweli yeye) yeye a furahi juu ya wajinga urejee kamwe timiza haadi yako.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :Mumbaji wangu paka wewe akuna mwingine -Tegemeo langu paka wewe akuna mwingine