BWANA KANENA WATU WANGU — Cantiques EUJC

N° 93

BWANA KANENA WATU WANGU

1.

Bwana kanena watu wangu wanateswa, Musa ukawatoe huko misri ¨Wanenda katika muji (muji) ni liowahidia inchi iyo ya furaha ya jehova ¨2x Musa, Musa, Musa tuna tabika tupe maji ya kunywa tazama shindo la Farao, jazareni wajoli tupo ndani ya kibofu tupo ndani ya baba aleluya na yeye ndani mwetu.

Refrain

Yoyoyo buatafunae kunde ni miongoni mwetu¨2x

Commentaire

- Ukijesabia kuwa mu kisto, bulevi nabo aujaacha, ila unadanganya watu ni kumucha mungu.

- Ukijesabia kuwa mwaminifu, bulozi nabo aujaacha

4.

ila unadanganya watu ni kumucha mungu. (yoyoyo) buatafunae kunde ni miongoni mwetu.