EH WAJOLI MIMI NDIMI MU KRISTU — Cantiques EUJC

N° 97

EH WAJOLI MIMI NDIMI MU KRISTU

1.

Eh ee wajoli mimi ndimi mukristu uzima huu ni nao nita utautairi je ?

-Eh ee wajoli mimi ndimi mukristu mwana huu ninaye nitamutairi je.

Refrain

( Tahiri mwana ) Eh ee wajoli sikilizeni "2x jambo lilifanya Sipora alipo elekea nyumbani mwa kulala kuwageni jehova alitaka kumuwa Sipora kachukua jiwe katahiri mwana ngovi ikamwangukia Musa miguuni " Ewe tukuza mungu wa uzima akilini mwako ewe chunga hekima kwake mungu wa uzima tumufanie uduma . "2x

2.

–Kutahiri ni alama ya agano letu na bwana kama alivio fanya jehova na babu zetu lbrahimu kwa kutahiriwa kila mutu miongoni mwetu sharti apate kutahiriwa , ata akinunuliwa kwa feza sharti apate kutahiriwa, ( kila mume miongoni mwetu , na kila muke miongoni mwetu sharti apate kutahiriwa .

3.

-Ilipotimia siku , siku iyo yanane ya kumutahiri yesu wakenda naye hekaluni kwa kumutahiri Simoni kamuchukuwa mikononi akamwimidi mufalme ana akashukuru jehova katabiri huhru utaokuja katika kristo.