N° 100
PIGO KUMI LA FARAO
1.
Pigo kumi la Farao wajoli israeli wote wakatoka utumwani kwelekea kanana inhi ya amani.
Refrain
Wanaisraeli wameingia yoyoyo wameriti kanana
2.
"Farao katuma majeshi kufuata israeli "2x wakaingia bahari nyekundu jeshi lote likafa, israeli wa mufalme wamevuka bahari .
3.
"Walipo fika jangwani vita kali nyikanyi "2x kwakushinda miji ile tisa kuingia kanana , israeli wa mufalme wa meriti kanana .
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Inchi ya furaha wameingia yoyoyo wameriti kanana
-Inchi ya amani - - - - - - -
-Inchi ya mababu - - - - - -
-Inhi ya salama - - - - -