N° 103
TUMEVUKA LEO BAHARI KUBWA
Tumevuka leo bahari kubwa kwelekea kanana inchi ya amani, ¨Farao na jeshi yake yote wamekufa baharini ¨2x
Refrain
Wenye kulala muhamke, wenye kuketi musimame, vit aya tuongojeya mbele yetu hili tusiingie kanana inchi ya wateule wajoli twende. Basi twende kanana, twende, twende kanana
Jazareni wenzangu tusiwe mu miji yote miji ni kitu kibaya tusi fariki njiani tusiwe mateka. Miji eh e miji eh, miji ni kitu kibaya ili uli uwisha yoane wa mungu kwa Herode mufalme basi yoane wetu akafa, yoane kwajili ya miji.
Commentaire
- Miji ya kula na kunywa akafa yoane kwajili ya miji
- Miji ya kutumbukiya
- Miji ya kuomba omba
Tuwe na imani yenye bayana na hakikisho tusiwe kama wajinga katika akili zetu , bayana kwa kila jambo wajoli katika neno la mungu tusiwe mateka 2x miji eh e miji ni kitu kibaya ili uwisha yoane wa mungu kwa Herode mufalme , basi yoane wetu akafa , yoane kwajili ya miji.
Commentaire
-Miji ya kutumbukia akafa yoane kwajili ya miji
- Miji ya kupenda vipia
- Miji ya kula na kunywa
Commentaire
- Tukashinde vikwaza twende, twende kanana
- Tukariti uzima
- Tukashinde na miji