NIMEMUONA BWANA MOYONI MWANGU — Cantiques EUJC

N° 106

NIMEMUONA BWANA MOYONI MWANGU

1.

Nimemuona bwana moyoni mwangu (kweli moyoni mwangu) maana neno lako limefika kwangu.

Refrain

Yesu amesimama mulangoni pa moyo (mulangoni pa moyo) ili akuokowe wewe unae potea Ahaa alelua¨2X Alelua amina

Commentaire

Pokea sifa alelua alelua amen.

4.

Kwa kuriti kanana tujitakase,(tujitaakase) tupigane vita na miji hiyo: - muhiti, mwamori, muyebusi, mu hamori, mufilistini, muhu na muperezi, mugilkasi, muhiti na mutengia. Rahaba kahaba kaokolewa (kaokolewa) kwani alificha wa pelelezi ¨2x