N° 107
WATU WENGI WANAPENDA KUPATA UZIMA
1.
Watu wengi wanapenda kupata uzima kwalakini neno la uzima ni ngumu kwa kuyatimiza 2x
Refrain
Kweli kweli na ma jeshi kumbingu mwinunge sasa vita hiyo ni mbele yetu.
4.
Ulijita Jehova, jina la hasira, (Farao anatesa wana wako siku nyingi sana)2x Tukipenda kuomba sisi tulie kwa baba tumwalike Mikaeli wa mungu aje atujaze nguvu. Tumwalike Somsoni wa mungu aje atujaze nguvu
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Mikaeli wa mungu mwinunge sasa vit hiyo ni mbele yetu