BWANA AKAMWAMBIA MUSA — Cantiques EUJC

N° 108

BWANA AKAMWAMBIA MUSA

1.

Bwana, bwana akamwambia Musa ( eh Musa takasa israeli wajiweke tayari, (watu) " wavue mavazi yao mpaka siku ya tatu , watu wote "2x

Refrain

Bwana ameshuka leo mulimani , mulimani tetemeko kubwa.

Commentaire

Com :-Ameshuka na balance : mulimani , mulimani tetemeko kubwa.

-Ameshuka na malaika : " " " " " " " " " " " "

2.

Mungu katia mipaka kumulima sinai "2x " Yeyote atakae gusa sinai atauwawa kwa mawe "2x

3.

" Walio gusa sinai wote tetemeko kubwa "2x (eh radi) " Radi na lalo kalia sauti ya baragumu kalia tetemeko kubwa "2x