MUNGU AKAMWAMBIA MUSA NENDA KWAO — Cantiques EUJC

N° 109

MUNGU AKAMWAMBIA MUSA NENDA KWAO

1.

Mungu akamwambia Musa nenda kwao uwatakase leo na kesho wa fue mavazi hili wawe tayari kwa siku ya tatu wana wa israeli wakakimbia muke "2x

Refrain

Mwanadamu wewe usiguse sinai wewe usije ukafa .

Commentaire

Com : -Utatobolewa usiguse sinai usije ukafa

-Utapigwa mawe " " " " " "

-Mwanadamu wewe " " " " " "

-Wewe usitende zambi " " " " " "

2.

Ilipotimia siku ya tatu asubui likawa radi na lalo na wingu, baragumu kalia kwanguvu mulima wa sinai ukatikisika waishio kambi wakakimbia.

3.

Mulima wa sinai ukatowa moshi , moshi kama wa tanuru kwa sababu bwana alishuka mulimani katika moto.