N° 111
USIWE NA MIUNGU MINGINE
1.
Usiwe na Miungu mingine pamoja nami, usijifanyie sanamu ao kivuli cha kitu, chochote cha duniani ao kilicho mbinguni, "Ao kilicho majini usikishududie" 2x
Refrain
Mulimani moto na mangurumo, mulimani panda umeme wa mvua, "Usiguse sinai mikono usije ukafe" 2x
2.
Ueshimu baba yako piya na mama yako, usi uwe, usizini wala kwiba, usi singigizie jirani, usitamana moyoni, "nyumba ya mwenzio ao kitu chochote cha jirani" 2x
3.
Usitaje jina la Jéhovah bure, uikumbuke sabato uifanye takatifu, ufanye kazi zako siku hizi sita, "Bali siku ya sabato ujifanye mutakatifu" 2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Ukiwa nyama usiguse sinai mikono usije ukafe
-Ukiwa mutu " " " " " "