N° 112
KUONDOKA KWA MUSA MULIMANI
1.
Kuondoka kwa Musa mulimani sinai "2x Musa akavaa shela kichwani mwake kwani waisraeli wote walikimbia.
Refrain
Jehova mungu nina kuomba )2x mimi nisiwe nami mutenda uambo mbovu.
2.
Ikiwa habari njema ina sheria ( sheria) iko kuko watu wenye uwovu "Kwani joka wa zamani anae danganya watu"2x
3.
Sheria imeondoshwa mukristu pahali roho wa mufalme ndipo kuna uhuru roho ameshuka mwilini mwetu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand