YAWE YOYOYO AAH — Cantiques EUJC

N° 115

YAWE YOYOYO AAH

1.

Yawe yoyoyo aah yawe apende kamwe watu wajikuzao wamuhimidi bwana na roho damilifu.

Refrain

wakavuka ma bahari makubwa wakenda kwa miguu (wana israeli ) wakaenda washududu bwana.

2.

Wakapotoka na Musa mu jangwani bwana akawaongoza (wana israeli ) wakaenda, wakaenda wakishududu bwana.

3.

Njaa kubwa nao ikawashika bwana akawalisha (wana israeli) wakaenda , waka enda , wakishududu bwana .

4.

Haibu yoyoyo en , yoyoyo haibu ika washika watu wajikuzao wamuumidi bwana na roho damilifu.