N° 116
BWANA AKA MWAPIA MUSA
1.
Bwana aka mwapia Musa autaingia kanana inchi ya watu wangu unitie Yoshua aingize watu wangu.
Refrain
Kweli mungu hesabu wema wa watu Musa rafiki yake akuingia kanana nawe mutenda hautaingia kanana.
2.
Yoshua akafanya agano mbele ya mungu baba masikiani mwa watu wa kubwa na wadogo kwa kutii maagizo na sheria ya mungu .
3.
Mungu baba si mungu wa uzalimu "2x ni mungu wa ukweli pia na wa utakaso "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Nawe mutenda zambi hautaingia kanana