N° 117
MALAIKA ZA MBINGUNI
1.
Malaika za mbinguni wapo na mutukuza kwani wewe duniani ukona tanga tanga jeho va mungu, mungu mumbaji wangu akaenda mbinguni kachukuwa mbingu kwa kuumba nazo mbingu zingine ambia ndege za mbingu ndege itikisike ndege ikatikisika dunia ifurahiwe.
Refrain
"Wajoli wangu bunene yoyoyo bunene wa jeho va "2x
2.
Wana israeli kwingia yoyoyo kwingia mu kanana wakitoa yoe kwa furaha yoyoye ingia mu kanana.
3.
Musa akaenda jangwa muwabu "2x kwelekea mu muji wa yeriko "2x kumilima ya nebo na pisiga, wakamuonesha mipaka yote ya , gileadi na dani na nafutali, efurahimu , manase ,yuda"2x.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand