WANA WAISRAELI KWELEKEYA INCHINI YA KANANA — Cantiques EUJC

N° 118

WANA WAISRAELI KWELEKEYA INCHINI YA KANANA

1.

Wana wa israeli kwelekea inchini ya kanana 2x wakakuta Balama mumoabu wakatuma wajumbe kwa Balama " Nabi iwa mungu ili alaani israeli wa mufalme "2x

Refrain

Nangojea hadi , nangojea hadi eh mimi nangojea roho wa mungu sitaki shuruli za watu mimi nangojea mufariji mwema nipate wokovu.

2.

Balama mwana wa Beori akaamka alfajiri kumwendea bwana mungu eh mungu ni metumwa na Balama (eh mimi ) kulaani jeshi hilio ya misri, jeho va akamujibu usijaribu kwa tendo wala kuatamko Balama kulaani wa pakaliwa mafuta.

3.

Kwa tamaa zake mbaya Balama kachukuwa ngombe saba za wana wa moabu ili alaani israeli (Balama) kamuka asubui kapandia punda wake kwelekea mazabau (Balama) "2x

Commentaire

Com :-Punda wa Balama akamuonya yovoyo usikufuru mungu wako

-Mungu kujirika mu punda "

-Mungu kujirika mu nyama "

-Sauti kujirika mu punda "