KUFA KW AKE MUS A — Cantiques EUJC

N° 119

KUFA KW AKE MUS A

1.

Kufa kwake Musa wajoli nabi iwa mungu (enyi wajoli) 2x "Bwana mungu kainuwa Yoshua aongoze wana israeli "2x

Refrain

Kutaza yeriko , kuta za yeriko "2x (kweli) kuta za yeriko zimebomolewa leo (kweli)2x

2.

Yoshua kafika yeriko kuta za yeriko zimechungwa na walinzi , kweli, kweli malaika za bwana kasimama mbele na upanga kauwa walinzi.