WANA ISRAELI KWAUONGOZI WA MUSA — Cantiques EUJC

N° 120

WANA ISRAELI KWAUONGOZI WA MUSA

1.

Wana israeli kwauongozi wa Musa wakatoka misri Musa akawavusha bahari nyekundu kuingia nao jangwani humo akashindwa huduma zake , kuingia nao jangwani humo hakuwa fikisha mwisho.

Refrain

Mimi taenda nitariti inchi , niriti inchi , inchi ya babangu ya raha na amani Mimi taenda tariti inchi makao ya babangu Isaka. Mimi " " " " " " " " " " " " Yakobo

2.

Juu ya mulima nebo Musa katazama inchi ya kanana kwa mbali "Eh Musa akafariki pale jeho va mungu aka muzika na Yoshua akasimamishwa "2x

3.

Wana israeli kwa ongozi wa Yoshua mwana wa Nuni waka vuka Yordani na wakangush Yeriko waka riti kanana inchi ya maziwa na asali.