N° 121
HUDUMA HUDUMA ZA BABA
1.
Huduma , huduma za baba , huduma za mwana , huduma pia za roho , "Ukipenda kuriti muuduma za baba usiriti kwa fitina huduma za baba "2x
Refrain
Mimi tamwita nani baba eh baba nione yesu wangu sikia roho mwema uje uduma zitimilike
-Mimi tamwita nani baba njiani humo mateso roho mwema uje huduma zitimilike.
2.
Mungu kwa rehema yako kawokoa misri ukawaingiza kanana inchi ulio waidia~2x
3.
Waliokuwa na chuki , waliokuwa na jeuri, waliokuwa na fitina waliabaki mujangwa~2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand