N° 122
AWA TULIKUWA NAO KATIKA MISRI
1.
Awa tulikuwa nao katika misri awa kujuwa neno la mungu leo wameangaika awa kujuwa neno la haki leo wametanga tanga eh munguee eh baba usiniache , eh mungu ee eh baba , baba usiniache.
Refrain
Eh we ndie kimbilio langu mungu wangu baba usiniache , ewe ndie tegemeo langu mungu baba usiniache eh mungu ee eh baba baba usiniache.
2.
Leo siunabaki uwezo wa baba umekuja oho leo shiunabaki utukufu wa baba umekuja oho leo shiunabaki mamulaka ya baba umekuja.
3.
Tuta ulizana siku bwana atakuja~2x ~na wa malaika wake sikuzile itakuwa shangwe~2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand