N° 123
WANA ISRAELI WA MEVUKA YORDANI LEO
Wana israeli wamevuka Yordani leo yoyoe aa yakini enh yoyoe ogopa sanduku fwata sanduku nyuma yoyoe aa ! aa ! yakini en yoyowe achia sanduku nafasi mikono elfu mbili yoyoe en en yakini en yoyowe.
Refrain
Nenda usitupe , nenda usitupe jiwe lako kauliza nani bwana wangue jiwe limebaki kama kumbu kumbu la jambo kati yetu we Yoshua amesimamisha jiwe mujini mwa telebinta.
Kwa kuivuka Yordani tu simame imara mu Yordani yoyowe ah ah ! yakini ah ! yoyowe kila mwanadamu achukuwe jiwe lake mu Yordani yoyowe ah ah ! yakini ah ! yoyowe Twanenda kupigana vita na Yeriko yoyowe ah ah ! yakini ah ! yoyowe.
Wa hubiri wa mechukuwa sanduku la neno la jehoa yoyowe ah ah ! yakini en yoyowe Wamesima imara katika inchi kavu mu Yordani yoyowe ah ah ! yakini wote wamevuka katika inchi kavu kwa miguu yoyowe ah ah ! yakini ah ! yoyowe.