YERIKO UMEZUNGUKWA KWA VITA — Cantiques EUJC

N° 126

YERIKO UMEZUNGUKWA KWA VITA

1.

Yeriko umeaungukwa kwa vita "2x Yeriko yule muji wa ukuta ulikuwa Yeriko uka itwa kanana.

Refrain

Eh mufalme tumeriti kanana , asali na maziwa ni chakula chetu.

2.

Kuhani wa mungu alie hai akapika baragumu mufalme wa Yeriko mikononi mwa Yoshua na vitu viake viote vimelaaniwa leo.

3.

Ujumbe wa mungu alie hai ulifikia Rahaba alificha wapelelezi ndani ya dari yake , alama nyekundu ni wokovu kwetu.