N° 127
KWA KUAKIKISHA KUBOMOKA KWA YERIKO
1.
Kwa ku hakikisha kubomoka kwa Yeriko , funga milango yote usianze kutoka "Mutu asingie kamwe kubomoka kwa Yeriko"2x
Refrain
Kweli mimi sitrejea tena kwa kujenga muji ukuta ume anguka (mimi)2x ukuta wa Yeriko.
2.
Walipiga parapanda siku sita siku yake ya saba wa kangusha Yeriko "Wakaingia kanana wakariti hii muji "2x
3.
Laana kwa yule atakaye jenga muji, nyama yule ata akikisha kubomoka kwa Yeriko , atauwawa muzaliwa wa kwanza na mudogo tena.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand