KUMBUKENI KWA SAFARI NDEFU — Cantiques EUJC

N° 129

KUMBUKENI KWA SAFARI NDEFU

1.

Kumbukeni kwa safari ndefu tuliovushwa ma bahari ma kubwa ma wili ili turiti inchi sio kwa nguvu zetu (eh baba) ila kwa yeye alie tuwezesha ili turiti inchi Isio kwa nguvu zetu eh ila kwa yeye alie tuwezesha ili turiti kanana.

Refrain

Acheni anasa wajoli sisi tusifuate shuruli za dunia isio na mwisho tuka muudumie yeye alietuwokowa wajoli sikilizeni ( wajoli wa bwana)

2.

Enyi vifaranga viangu "Mulio riti pamoja nami inchi hii mumeni tendea je ?"2X Mtumeabudu mwingu mingine mumeketi malangoni pamuiji kwa kwaribu wajoli wageni Jehova mungu (eh baba ) tazama wana awa ulionipa wameniacha ukiwa.

3.

Miongoni mwa awa ulionipa "Wasio fwata shuruli za duniani wameniongezea uzao, "2x

Commentaire

Com : -Basi mutume naye anenda vitani tumukumbukebaba. -Basi Kadima naye na Milemba wake wanenda vitani tuwa kumbuke baba.