N° 132
MUNGU UNIFARIJI KWA SAFARI
1.
Mungu unifariji kwa safari ndefu ni nayo niriti inchi ya hadi inchi ya kana, inchi iliachiwa ma babu inchi ya kanana ,ya maziwa na asali inchi ya kanana.
Refrain
Eh baba mungu usiniache 2x nisipoteze uzima wa neno kwajili ya anasa za dunia.
2.
Nikitazama uko niendako , yoyoyo simba wa kali wameniongojea falme za giza nao usimama "Ili kwaribu uzima wangu ni sivikwe joo lako "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Joo la uzima ili kwaribu uzima wangu ni sivikwe joo lako -Joo la mbinguni " - - - - - - - - - - - - -Joo lako baba " - - - - - - - - - - - - -