ENYI WAJOLI KATIKA BWANA — Cantiques EUJC

N° 134

ENYI WAJOLI KATIKA BWANA

1.

1. Enyi wajoli wa bwana jazareni kwa jambo lote ¨ Sisi awa mu dunia si wa duniani twaishi mbinguni kwa bwana mungu wetu¨2x

Refrain

Kanana, kanana inchi yetu asali

maziwa chakula yetu Tusiharibu uduma za bwana

Commentaire

Bora Afrika watungojea - Marekani watungojea - Asia - Ulaya - Ufalme Tusi ya kule yote ya kanana, tusi ya kunywe

yote ya kanana Tusi ya vae yote tusi tembee mote mukanana Jitenge, jitengeni na wake wa dunia dumuni tena kumusalaba jina letu litukuzwe na mungu wetu tushududishe

jeshi la mbingu na dunia.

- Kweli na bulozi busitiriwe na mungu wetu tushududishe jeshi la mbingu na dunia.- Kweli na bu imbwa - Kweli na bu tembo