JINA LAKO NANII — Cantiques EUJC

N° 39

JINA LAKO NANII

1.

Jina lako nani hili nili nilitukuze (jina langu mimi neno lako la uzima)2x

Refrain

Eh jina langu mimi, baba eh baba neno lako la uzima

- Mungu wangu usinite muchawi baba eh baba neno lako la uzima

- Mungu wangu usinite mulozi baba eh baba neno lako la uzima

3.

Shamba langu mimi ni mepanda mimea, miti yote ya Edeni ilikuwa ndani yake kweli, Muti muzuri kwa chakula pia na wakutazama, na mut iwa mauti pia na wa uzima

4.

Ukumu imekwisha fika tujiweke tayari (Kazi yake kweli mungu imetimia leo)2x Akutakuwa unyumba mbele yake jehova mungu Akutakuwa kabila mbele yake jehova mungu Ila neno lake kweli ndilo litakalo timilika