JEHOVA AKANUNGUNIKA — Cantiques EUJC

N° 42

JEHOVA AKANUNGUNIKA

1.

1. Jehova akanungunika alipoona shamba lake (shamba lile)(shamba lile lenye kutoa matunda yenye kunyauka) 2x

Refrain

Mimi sijui kazi gani sikutimiza kwa shamba langu mimi (shamba langu) ni kapanda ni kamimia maji kwayo kutoa matunda mema, shamba langu likatoa matunda mbaya yote yenye kunyauka.

3.

2. Ni kiwa na hatia mbele yako mungu wangu unirehemu (ni fundishe) ni fundishe ginsi upendavio mungu wangu unirehemu.

4.

3. Sina lingine tegemeo ila wewe ni mwamba wangu (moyo wangu) moyo wangu mikononi mwako ni tendee ginsi upendavio.