MUSAFIRI BAADO NIKO NJIANI — Cantiques EUJC

N° 44

MUSAFIRI BAADO NIKO NJIANI

1.

1. Sauti ikanita shambani ni kashikwa na woga, ni kashikwa na haya nika vaa majani baba unirehemu.

Refrain

Ninalia mimi, na umia mimi (Baba yangu na tabika mwili umenisonga baba unirehemu) 2x

3.

2. Sauti ikanita shambani ni kashikwa na woga, ni kashikwa na haya nika vaa majani baba unirehemu.

3. Yawe fanye nini na mwili huyu wa zambi (Baba yangu mi na kwita ukinyacha mitakufa baba unirehemu) 2x