N° 46
NI KITU GANI KINITENGACHO
1.
1. (Ni kitu gani kinitengacho na mungu wa uzima}2x (Eh mimi) mimi peke yangu wajoli kujitenganisha na mungu wa uzima 2x
Refrain
Uniokoe, uniokoe, uniokoe bwana wa rehema. 2x Uniokoe bwana wa rehema jina lako lisifiwe (eh baba) uniokoe Bwana wa rehema jina lako liogopwe.
3.
2. Mungu tazama akili zangu zimenitoa shambani mwako)2x Mungu wa uzima ni shushie maharifa eh baba ni riti shamba lako Mungu wa uzima ni shushie maharifa eh baba ni riti shamba la Edeni.
4.
3. Umenitoa mavumbini niwe muchungaji wa dunia Umenitoa mavumbini hili ni pate wokovu Mungu wa uzima ni shushie roho wako eh Baba hili aniongoze.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand