N° 47
ZAMBI ILI TAWALA TANGU ADAMA
1.
1. Zambi ili tawala tangu Adamu paka Musa wokovu wa watu waja kwa Yesu mwana wa Mungu.
Refrain
Kwa maana Mungu alipenda ulimwengu akatoa mwanake yesu ili yeyote amwamini asipotee kamwe apate uzima wa milele
Mwana wa mungu Kimbilio letu
3.
2. Yesu kaanza Uduma apa duniani katafuta petro, yoane, yakobo wa fanye uduma.Alam aya kwanza yesu aliofanya kawaita wenye na miziko njoni awa pumzishe awatoshe utumwani mwa shetani wapate utlivu.
- Nduku mulozi wewe toka utumwani mwa shetani wapate utulivu.
- Nduku muchawi wewe toka utumwani mwa shetani wapate utulivu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand