ADAMA NA HAWA — Cantiques EUJC

N° 49

ADAMA NA HAWA

1.

1. Adama na hawa kubeula Mwana Mungu masiya taabu ikawajiya.

Refrain

(Ewe rafiki) wewe mwenye kukufuru ujiulize uishi sehemu gani.

3.

2. Bwana yesu mwana mungu akaja duniani masiya ili aokowe watu .

4.

3. Fikili vema leo upande uishiko ndugu yangu wa kondoo ama wa mbuzi.