N° 50
MUNGU KAMWAMBIA ADAMU
1.
1. Mungu kamwambia Adamu, humo shambani mwa Edeni juu ya mut iwa kujuwa uzuri na ubaya mu sile yake
Refrain
Wakati mungu aliita mangaribi mwa shamba uko wapi Adama, muke wangu amenidanganya.
- Tunda midomoni muke wangu amenidanganya
- Kajificha mitini
- Wakavaa majani
3.
2. Muke wake akatoka, akakutana na nyoka akamwagiza akala akamupa na Adama naye alikula.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand