N° 136
KWA KUZALIWA KWA SAMSONI
1.
Kwa kuzaliwa kwa samsoni munaziri malaika kajirika kwa manoa mutu wa sora ( malaika) "aka muharifu mutamuzaa mwana mume munaziri."2x
Refrain
Ndugu zetu wapenzi iazareni kwa naziri"2x jambo lako la siri usimunenee muke wako "Jarazeni wembe usije kupita kichwani mwako "2x "Tazama delila akaharibu nguvu ya Samsoni"2x
2.
Samsoni akikuisha kuzaliwa akapikana vita na wafilistini madui kwa kuokoa uzao waisraeli utumwani (samsoni)2x
3.
Tazameni munafiki wa hekima za dunia Delila kamusaliti samsoni, kwa jeuri kubwa , naye akuona ginsi ya kumulipiza kisasi (samsoni)2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand