KUJIRIKA KWA MALAIKA WA MUNGU KWA MANOA — Cantiques EUJC

N° 138

KUJIRIKA KWA MALAIKA WA MUNGU KWA MANOA

1.

Kujirika malaika wa mungu kwa manoa "Ewe manoa muke wako , atapata mimba atazaa mwana mume jina lake samsoni "2x

Refrain

Mbweha samsoni washa moto samsoni shamba ilungue.

Commentaire

Com :-Shamba ya wafilistini washa moto samsoni shamba ilungue. -Shamba yenye kufungwa kwa minganda samsoni yote ilungue

2.

Walipo sikia ayo wa kanza kumufwata ili wamuwe samsoni kaokota mufupa wa taya ya punda akauwa watu.